Latest posts
-
Mabasi ya umeme Zanzibar, yaja na changamoto zake

Oktoba Mosi, 2026, Zanzibar iliandika historia. Kwa mara ya kwanza, mabasi ya umeme ya kisasa yenye urefu wa mita 12, yaliyoletwa na kampuni ya EKA Mobility ya India kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) na GRT, yalianzisha safari zake rasmi. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi aliyazindua Julai 23, 2026 katika…
-
TMA yaeleza uwepo kimbunga bahari ya Hindi

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mgandamizo mdogo wa hewa uliopo katika Bahari ya Hindi karibu na Visiwa vya Ushelisheli unatarajiwa kuimarika na kuwa kimbunga ndani ya siku nne zijazo. Pia, ukitarajiwa kuimarisha mifumo ya mvua katika maeneo ya ukanda wa pwani kuanzia Oktoba 24, 2026. Kwa mujibu wa taarifa…
-
Tanzania: PSPTB Enlists Employers in Fee Recovery Drive

Dodoma — The Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board (PSPTB) will involve employers in efforts to recover outstanding professional fees from registered practitioners who have failed to renew their membership, warning that continued non-compliance could lead to deregistration. Speaking to reporters in Dodoma yesterday, PSPTB Executive Director, Mr Godfred Mbanyi urged practitioners who had…
-
Tanzania yaanzisha kituo cha kuwaandaa vijana wa Afrika kujadili tabianchi

Dar es Salaam. Tanzania imeanzisha Kituo cha Mafunzo ya Vijana wa Afrika kuhusu majadiliano ya tabianchi, kinacholenga kuwajengea uwezo vijana kushiriki katika maamuzi ya kimataifa yanayohusu mazingira na maendeleo. Uzinduzi wa kituo hicho umefanyika jijini Dar es Salaam, leo Jumanne, Oktoba 20, 2026, ukiwa na lengo la kuwaandaa vijana kushiriki kikamilifu katika majadiliano ya kimataifa…
-
Hashim Rungwe akwama kortini, fidia ya Sh1 bilioni yayeyuka

Kigoma. Hashim Rungwe, mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), amekwama mahakamani baada ya madai yake ya kulipwa fidia ya Sh1 bilioni kukataliwa na mahakama ikatamka yeye si mmiliki halali wa kiwanja alichokuwa anadai. Rungwe ambaye katika hukumu hiyo mahakama imemtambua pia kwa jina lake maarufu la Sipunda, ni wakili wa kujitegemea.…
-
Watoto wa Cleopa Msuya wavutana mahakamani kuhusu mirathi

Dar es Salaam. Watoto watatu wa aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania, Cleopa Msuya, wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa mirathi ya baba yao, huku mmoja wao akiiomba Mahakama Kuu kutoa amri za muda za kulinda mali za marehemu. Katika uamuzi uliotolewa Oktoba 13, 2026, Jaji Sara Mwaipopo…
-
Hello world!
Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing!