Latest posts
-
Mitaji, masoko vikwazo kwa vijana kuwekeza kwenye kilimo misitu

Musoma. Ukosefu wa mitaji, masoko na teknolojia ni miongoni mwa changamoto zinazowakabili vijana wanaotaka kuwekeza katika kilimo misitu, huku wadau wakitaka kuimarishwa kwa huduma za ugani, utafiti wa mbegu bora na upatikanaji wa masoko ya uhakika. Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya wakati akifungua Kongamano la 11 la Kilimo…
-
Serikali yatakiwa kuingilia kati mgogoro wa wachungaji, viongozi wa kimila Simiyu

Maswa. Mgogoro kati ya wachungaji wa Kikristo na viongozi wa kimila katika kijiji cha Sangamwalugesha, Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, umeingia katika hatua mpya baada ya wachungaji hao kutangaza maazimio ya kukataa kuongozwa na mamlaka za kimila katika shughuli za kijamii, hususan misiba. Wachungaji hao wameitaka serikali ya wilaya hiyo kuingilia kati mgogoro huo, wanaodai…
-
Tanzania: Can Tanzania Set Its Sights On China’s Graphite Crown?

Tanzania wants to overtake China in graphite production within 15 years. It is a bold target for a country with substantial reserves but only a small share of global output. The announcement signals its intention to become a major force in the fast-growing battery materials market. “We are going to surpass China in terms of…
-
TRA moves to simplify tax compliance for sugarcane farmers and businesses

Dar es Salaam. The Tanzania Revenue Authority (TRA) plans to simplify tax compliance procedures for sugarcane farmers and other businesses following concerns over the process of obtaining Taxpayer Identification Numbers (TINs) and other tax-related challenges. TRA Commissioner General Yusuph Mwenda announced the plan yesterday during a visit to Kilombero Sugar Factory and a meeting with…
-
Mahakama yawaachia huru watatu kesi ya mauaji Nzega

Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Tabora, imewaachia huru Hamisi Kusailwa, Kulwa Masanja na Mayunga Shija, waliokuwa wakikabiliwa na shtaka la kumuua Dase Kusailwa, baada ya kubaini mapungufu katika ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka. Miongoni mwa sababu zilizochangia uamuzi huo ni tofauti katika maelezo ya maungamo yaliyodaiwa kutolewa na washtakiwa, dosari katika…
-
HESLB ilivyopunguza muda kutoa mikopo hadi siku mbili

Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imepunguza muda wa utoaji fedha za mikopo kwa wanafunzi kutoka mwezi mmoja hadi siku mbili, huku ikipanga kuunganisha mifumo yake na ya taasisi nyingine za Serikali ili kuongeza kasi ya huduma hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dk Bill Kiwia, amesema maboresho ya…
-
Tanzania: BoT Records Rise in Monetary Gold Holdings

Dar es Salaam — THE Bank of Tanzania’s gold holdings rose by 3.6 per cent in September, strengthening the gold component of its assets and highlighting the importance of precious metals in the central bank’s financial position. The Bank’s Statement of Financial Position as at September this year shows that the combined monetary gold and…
-
Tanzania researchers turn sisal waste into animal feed, fertiliser and energy

Tanga. Waste from sisal processing, long regarded as an industrial by-product, could be turned into animal feed, organic fertiliser and energy, researchers have said. Research findings presented yesterday show the potential to convert sisal waste into economically valuable products while reducing waste and environmental challenges facing processing factories. Presenting the findings, Dr Aziza Konyo, a…
-
Kamani: Wilaya zote ziige mfano wa Mufindi

Mufindi. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ng’wasi Kamani, amezitaka wilaya zote nchini kuiga mfano wa Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa, kwa kuandaa na kuboresha maonyesho ya biashara na uwekezaji ili kuchochea ukuaji wa uchumi, kuvutia wawekezaji na kuongeza ajira kwa wananchi. Kamani ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Oktoba 21, 2026, wakati akifunga Maonyesho…
-
Bajaji zaanza kurejea mtaani Mbeya, daladala zalalamika

Mbeya. Bajaji jijini Mbeya zimeanza kurejea barabarani baada ya kusitisha huduma kwa takribani siku mbili kupinga kuondolewa katika barabara kuu ya Tanzam, huku wananchi wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC), Jumanne Sagini, kusimamia msimamo wake wa kutaka vyombo vya usafiri kuzingatia sheria. Hata hivyo, kurejea kwa bajaji hizo kumeambatana na malalamiko kutoka kwa baadhi…