Habari za Dharura
Your blog category
Instagram account trade booms amid risks
Dar es Salaam. Buying, A growing trade in Instagram accounts with established audiences is creating an income opportunity for some Tanzanians, but buyers risk losing millions of shillings when sellers disappear, accounts stop working or promised followers fail to materialise. The transactions involve buying entire accounts with thousands of existing followers or paying individuals to […]
TMA yaeleza uwepo kimbunga bahari ya Hindi
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mgandamizo mdogo wa hewa uliopo katika Bahari ya Hindi karibu na Visiwa vya Ushelisheli unatarajiwa kuimarika na kuwa kimbunga ndani ya siku nne zijazo. Pia, ukitarajiwa kuimarisha mifumo ya mvua katika maeneo ya ukanda wa pwani kuanzia Oktoba 24, 2026. Kwa mujibu wa taarifa […]
Wavuvi Nkasi wanufaika na mikopo ya vizimba vya samaki
Rukwa. Wavuvi wa Kata ya Kabwe, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi, Mkoani Rukwa wameishukuru Serikali kwa kuwawezesha kunufaika na mikopo isiyo na riba kwa ajili ya ufugaji wa samaki ndani ya Ziwa Tanganyika. Mikopo hiyo inalenga kuwawezesha wananchi wanaoishi pembezoni mwa ziwa hilo kutumia rasilimali zilizopo kwa shughuli za uzalishaji na kujiongezea kipato kupitia ufugaji […]
Tanzania: NBS Calls for Data-Driven Economic Planning
Manyara — TANZANIANS have been urged to rely on official statistics when planning economic activities and making investment decisions, with the National Bureau of Statistics (NBS) stressing the importance of accurate data in guiding development and resource allocation. NBS Manyara Regional Statistics Manager, Mr Gidioni Mokiwa made the call over the weekend, while speaking to […]
Tanzania: Gas Firm Opens Opportunities for People With Disabilities
Dar es Salaam — PEOPLE with disabilities are being encouraged to explore business opportunities in clean cooking energy, including gas cylinder sales and distribution, through an initiative by Taifa Gas aimed at promoting entrepreneurship and economic inclusion. This comes after the company sponsored a one-day training for more than 100 people with disabilities and special […]