Habari za Dharura
Your blog category
Mfanyakazi wa ndani ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mtoto wa mwajiri wake
Geita. Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Verediana Levee, mfanyakazi wa ndani, kwa tuhuma za kumuua William Mathayo, mwenye umri wa miaka mitano, aliyekuwa mtoto wa mwajiri wake. Mtoto huyo alidaiwa kuuawa kwa kunyongwa Oktoba 24, 2026, katika Mtaa wa Ibolelo, Kata ya Nyankumbu, Manispaa ya Geita, wakati wazazi wake wakiwa nje kwa ajili ya […]
Tanzania election violence probe enters suspect identification phase
Dar es Salaam. The presidential commission investigating violence and alleged breaches of the law during and after Tanzania’s October 2025 General Election has begun gathering information to identify those who planned, financed, coordinated or participated in the incidents. Commission chairman Shaban Ally Lila, a retired Court of Appeal judge, said on September 27, 2026, that […]
New genetic test tackles repeated pregnancy loss
Dar es Salaam. Couples struggling with recurrent pregnancy loss or repeated fertility treatment failures now have a renewed hope following the introduction of advanced genetic testing technology in Tanzania that detects chromosomal abnormalities in embryos prior to uterine implantation. The procedure, scientifically known as Preimplantation Genetic Testing for Aneuploidy (PGT-A), examines the full chromosomal makeup […]
Jiwe lililotumika kuficha ng’ombe za Wapare dhidi ya wavamizi wa mifugo
Mwanga. Katika kitongoji cha Kwaanjili, Kijiji cha Mbambua, Kata ya Lembeni, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, lipo jiwe kubwa lenye pango lililotumika miaka ya 1800’s kama maficho ya mifugo ya Wapare dhidi ya wavamizi waliokuwa wakitaka kuiba mifugo yao. Jiwe hilo, ambalo limebaki kuwa alama ya historia ya jamii ya Wapare, linatajwa kuwa sehemu muhimu […]
Why education financing needs collective response
Dar es Salaam. Tanzania is currently undergoing one of the most aspiring transformations in its educational history, with the sector expected to drive the socio-economic goals of Development Vision 2050. However, education financing has come out as a persistent structural hurdle threatens this momentum. Guided by the Education and Training Policy 2014 (2023 Edition) and […]
Jiwe la kihistoria lililotumika kuficha ng’ombe za Wapare dhidi ya wavamizi wa mifugo
Mwanga. Katika kitongoji cha Kwaanjili, Kijiji cha Mbambua, Kata ya Lembeni, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, lipo jiwe kubwa lenye pango lililotumika miaka ya 1800’s kama maficho ya mifugo ya Wapare dhidi ya wavamizi waliokuwa wakitaka kuiba mifugo yao. Jiwe hilo, ambalo limebaki kuwa alama ya historia ya jamii ya Wapare, linatajwa kuwa sehemu muhimu […]
Children born outside marriage have equal inheritance rights, government says
Dodoma. Children born outside marriage have the same legal right to inherit from their parents as those born within marriage, the government has clarified, amid concerns over discrimination in inheritance disputes. Deputy Minister for Constitution and Legal Affairs Zainab Katimba made the clarification in Parliament during the question-and-answer session of the First Meeting of the […]
Tanzania records 7,219 rape cases in 2025
Dodoma. Tanzania recorded 7,219 rape cases between January and December 2025, with the government warning against concealing sexual violence or settling such cases outside the legal system. Deputy Minister for Community Development, Gender, Women and Special Groups Maryprisca Mahundi said rape and other forms of gender-based violence violated human rights, dignity and personal safety, stressing […]
Nearly 782,000 SGR tickets go unused in nine months
Dodoma. Nearly 782,000 tickets purchased for Tanzania’s Standard Gauge Railway (SGR) services went unused between January and September 2026, with the government attributing the discrepancy partly to passengers who fail to travel and the allocation of seats along different routes. The figures were presented in Parliament during the question-and-answer session of the First Meeting of […]
Tume yaanza kusaka waliopanga, kufadhili ghasia za Oktoba 29
Dar es Salaam. Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, baada ya kukamilisha uchunguzi wa awali kuhusu matumizi ya nguvu katika kudhibiti vurugu hizo. Hatua hiyo inaashiria kuanza kwa uchunguzi unaolenga kubaini wahusika […]