Habari za Dharura
Your blog category
Marekani kufungua milango kwa startups za Tanzania
Marekani iko tayari kushirikiana na kampuni bunifu za Tanzania zinazobuni bidhaa na huduma za kiteknolojia, huku mitaji, ubia na upatikanaji wa masoko vikitajwa kuwa muhimu katika kukuza biashara hizo na kuziimarisha katika ushindani wa kimataifa. Source link
Tanzania yasema hakuna Ebola | Mwananchi
Dar es Salaam. Wizara ya Afya imesema hadi sasa hakuna mgonjwa wa Ebola nchini Tanzania, huku ikiimarisha hatua za kujikinga na kukabiliana na ugonjwa huo kufuatia mlipuko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuripotiwa kwa mgonjwa nchini Kenya aliyesafiri kutoka DRC. Katika taarifa iliyotolewa leo Jumatano, Oktoba 21, 2026, Mganga Mkuu wa Serikali, […]
Tanzania’s Parliament Assesses Report On Measures to Simplify Tax Systems, Business Licensing
Dodoma — THE Parliamentary Standing Committee on Administration, Constitution and Law has received and discussed a report from the President’s Office, Planning and Investment on measures being taken to coordinate and simplify tax payment systems and business licensing procedures in Tanzania. The discussions took place in Dodoma today, October 19, 2026. The committee reviewed measures […]
Nauli za usiku, kukatisha ruti zawatesa abiria, Latra yatoa onyo
Dar es Salaam. Abiria wanaotumia usafiri wa daladala jijini Dar es Salaam wamelalamikia kupandishwa kwa nauli kiholela nyakati za usiku na baadhi ya magari kukatisha safari kabla ya kufika vituo vya mwisho vilivyokusudiwa. Malalamiko hayo yanahusu njia mbalimbali, zikiwamo Mbezi-Mlandizi, Ubungo-Gongo la Mboto, Kivukoni-Tegeta, Gerezani-Tegeta, Mbande-Buza na Mbagala-Ubungo Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es […]
Tanzania researchers turn sisal waste into animal feed, fertiliser and energy
Tanga. Waste from sisal processing, long regarded as an industrial by-product, could be turned into animal feed, organic fertiliser and energy, researchers have said. Research findings presented yesterday show the potential to convert sisal waste into economically valuable products while reducing waste and environmental challenges facing processing factories. Presenting the findings, Dr Aziza Konyo, a […]
Mgonjwa wa Ebola Kenya na wasiwasi wa mnyororo wa maambukizi
Dar es Salaam. Maambukizi ya ya Ebola nchini Nigeria yameongeza tahadhari kuhusu uwezekano wa kuenea kwa ugonjwa huo Afrika Mashariki na maeneo mengine, huku mamlaka za afya zikichunguza chanzo cha maambukizi na uhusiano wake na yaliyoripotiwa Kenya. Shirika la Afya Duniani (WHO) lilithibitisha Oktoba 20, 2026, kuwa mwanamke aliyezaliwa Uganda, mke wa mwanadiplomasia wa Uswisi, […]
Tanzania: Govt Tightens Screening Amid Ebola Outbreak
Dar es Salaam — THE government has strengthened health screening and surveillance for international travellers entering Tanzania following an Ebola Virus Disease (EVD) outbreak in the Democratic Republic of Congo (DRC) and a recent case involving a patient who travelled from the country to Kenya. The measures, which take immediate effect, require incoming travellers to […]
Kabila: Hukumu, vikwazo na ushahidi-2
Hukumu ya kifo dhidi ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Joseph Kabila na vikwazo vya Marekani vilivyotangazwa dhidi yake vimeongeza uzito wa tuhuma zinazomhusisha na mzozo wa mashariki mwa nchi hiyo. Hata hivyo, hukumu ya Mahakama na vikwazo vya Marekani ni hatua mbili tofauti, zilizochukuliwa na mamlaka tofauti. Kuelewa uzito wake […]
Waziri Shemdoe aruhusu bajaji kurejea barabara kuu Mbeya
Mbeya. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe, ameondoa zuio la bajaji kuondolewa katika Barabara Kuu ya Tanzam jijini Mbeya, huku akielekeza kuundwa kwa timu itakayopanga maeneo na ruti za vyombo hivyo ndani ya siku 14. Pia, ameelekeza kusitishwa kwa usajili mpya wa bajaji, akisema idadi iliyopo ya takribani 6,000 inatosha […]
Mbeya faces uphill task to overtake Dar, Mwanza in economic contribution
Mbeya. The Mbeya Region, currently Tanzania’s third-largest contributor to the national economy, could rise to the top if residents and businesses make better use of available opportunities, Regional Commissioner Jumanne Sagini has said. According to Bank of Tanzania estimates for 2025, Dar es Salaam leads with a contribution of Sh39.808 trillion, followed by Mwanza at […]