Habari za Dharura
Your blog category
UDSM dismisses claims of scrapping special and supplementary exams
Dar es Salaam. The University of Dar es Salaam (UDSM) has dismissed claims circulating on social media that it has abolished special and supplementary examinations, saying the exams remain in place but will now be conducted within the regular academic calendar. In a statement issued on Friday, October 23, 2026, the university said the changes […]
UCSAF, TET kuandaa vitabu vya kidijitali
Dar es Salaam. Wanafunzi wa Kidato cha Tatu wanatarajiwa kupata fursa ya kujifunza kwa kutumia video, sauti na maabara pepe, baada ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kukubaliana kubadilisha vitabu vinne vya kiada kuwa maudhui ya kidijitali. Hatua hiyo inalenga kuboresha ufundishaji na ujifunzaji, kuwasaidia wanafunzi kuelewa dhana […]
11 kortini kwa tuhuma za kutakatisha Sh1.4 bilioni
Dar es Salaam. Watu 11 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 13 ya uhujumu uchumi, yakiwemo kuongoza genge la uhalifu, kuingilia mifumo ya kibenki na kutakatisha fedha zinazozidi Sh1.4 bilioni. Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026, na kusomewa mashtaka yao na Wakili wa Serikali, Cathbert Mbiling’i, mbele […]
Menopause: Stages, symptoms and how to manage it
Dar es Salaam. Despite World Menopause Day being observed on October 18 to raise awareness and improve women’s well-being, conversations about menopause remain limited in many communities. Speaking to The Citizen, gynaecologist Dr Living Colman defined menopause as the permanent cessation of menstruation after 12 consecutive months without a menstrual period. He said women may […]
Upinzani Malawi wataka maelezo Rais Mutharika kukaa Afrika Kusini
Lilongwe. Chama kikuu cha upinzani nchini Malawi, Malawi Congress Party (MCP), kimeitaka Serikali kueleza sababu za Rais Peter Mutharika kukaa muda mrefu Afrika Kusini, huku wananchi wakikabiliwa na uhaba wa mafuta, kukatika kwa umeme na upatikanaji mgumu wa dawa katika hospitali za umma. Mutharika, mwenye umri wa miaka 86, aliondoka nchini humo Oktoba 6, 2026, […]
Ufaransa yaripoti mgonjwa wa kwanza wa virusi vya Shamonda
Dar es Salaam. Ufaransa imeripoti mgonjwa wa kwanza aliyeambukizwa virusi vya Shamonda, ambavyo awali vilijulikana kuathiri wanyama, hasa ng’ombe, hali iliyochochea uchunguzi kuhusu uwezekano wa virusi hivyo kuambukiza binadamu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mamlaka za Ufaransa Alhamisi, Oktoba 22, 2026, mgonjwa huyo alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali za umma za Lyon kutokana na […]
Tanzania targets top 10 global food producers
Des Moines. Tanzania aims to become one of the world’s top 10 food producers, Prime Minister Mwigulu Nchemba has said, citing increased investment in agriculture as a key driver of the ambition. Speaking at the Norman E. Borlaug International Dialogue in Des Moines, Iowa, on Thursday, October 22, 2026, Dr Nchemba said the goal was […]
Japan yakabidhi magari 16 ya doria kwa nchi za EAC
Arusha. Serikali ya Japan imekabidhi magari 16 ya doria kwa nchi nane wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa lengo la kuimarisha usalama mipakani, kupambana na uhalifu wa kuvuka mipaka na kurahisisha biashara halali. Magari hayo aina ya Pickup, mawili kwa kila nchi, yametolewa kupitia ufadhili wa Japan na kutekelezwa na Ofisi ya Umoja […]
Aliyehukumiwa kwa kujaribu kumuua mke mwenza aachiwa
Arusha. Mahakama ya Rufani imemwachia huru Khadija Shaaban Ali, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 20 baada ya kukutwa na hatia ya kosa la kujaribu kumuua mke mwenza, Maimuna Said Suleiman, kwa kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili wake kwa kutumia kisu. Khadija alitiwa hatiani na Mahakama Kuu Zanzibar, baada ya kukutwa na hatia ya kujaribu kusababisha […]
Tanzania: Public Urged to Learn Flood Rescue Skills
A WATER rescue expert has urged citizens to learn basic first aid and rescue techniques to save lives during El Niño related flooding before professional emergency teams arrive. Agnes Swimming Foundation rescue team leader Abdallah Mohamed said public awareness and practical skills are essential in reducing flood related casualties, particularly in densely populated communities where […]