4 mins read

Chalamila ataka Ilala Kota ipangwe upya

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema majengo chakavu katika eneo la Ilala Kota, Kata ya Mchikichini, yanapaswa kuondolewa na eneo hilo kupangwa upya ili kujenga miundombinu ya kisasa inayoendana na ukuaji wa jiji. Amesema mpango huo unapaswa kuzingatia makazi bora, maeneo ya biashara, maegesho ya magari na huduma […]

2 mins read

Chatanda awatahadharisha wananchi ahadi za vyama Chamwino

Chamwino. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda amewataka wananchi wa Jimbo la Chamwino mkoani Dodoma kuwa makini na ahadi za vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mdogo wa ubunge, akisisitiza umuhimu wa kutathmini uwezo wa vyama kutekeleza mipango ya maendeleo. Chatanda ametoa kauli hiyo Oktoba 22, 2026, wakati akimnadi mgombea ubunge wa […]

3 mins read

Zanzibar President promises full university scholarships for top-performing students from 2027

Unguja. Zanzibar President Hussein Ali Mwinyi has announced that, from next year, the government will provide full university scholarships to all students who attain Division One with three to five points in national examinations, regardless of their field of study. Dr Mwinyi made the announcement yesterday at a ceremony at State House in Zanzibar to […]

4 mins read

Kasekenya aagiza Tanroads kuweka wakandarasi wa dharura mvua za El Nino

Same. Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amewaagiza mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) mikoa yote nchini kuhakikisha wanaweka wakandarasi wa dharura katika maeneo yao ili kukabiliana na athari za mvua za El Nino zinazoweza kuathiri barabara kuu. Kasekenya amesema maandalizi hayo ni muhimu ili kuwezesha matengenezo ya haraka pale miundombinu ya barabara itakapoharibiwa […]

3 mins read

Zanzibar kukutanisha wataalamu kujadili uchumi wa buluu, tabianchi

Unguja. Wataalamu wa mazingira kutoka Tanzania na nchi mbalimbali wanatarajiwa kukutana Zanzibar kujadili fursa za uchumi wa buluu, changamoto za mabadiliko ya tabianchi na kuweka mikakati ya pamoja ya kukabiliana nazo. Jukwaa hilo lililoandaliwa na Jumuiko la Taasisi za Mabadiliko ya Tabianchi Zanzibar (Zacca), linatarajiwa kufanyika kwa siku tatu kuanzia kesho Jumamosi Oktoba 24 hadi […]