Habari za Dharura
Your blog category
EAC manufacturers seek reforms to boost regional production
Dar es Salaam. Manufacturers and policymakers in the East African Community (EAC) have called for predictable trade policies, affordable industrial financing and reliable raw material supplies to strengthen regional manufacturing and value addition. They also want time-bound reforms to address constraints affecting industrial competitiveness and reduce the region’s dependence on imports. The proposals were made […]
Tanzania: Tahuza Urged to Reach Prospective Pilgrims
Zanzibar — ZANZIBAR’S First VicePresident, Othman Masoud Othman , has urged the Al-Husna Hajj Trust (TAHUZA) to intensify community outreach and educate Muslims about opportunities to perform Hajj, one of the five pillars of Islam. He made the call recently in Unguja during the opening of TAHUZA’s office at Omar Bin Khattab Mosque in the […]
Dar es Salaam’s weekend now starts on Thursday as KWG transforms nightlife
Dar es Salaam. For years, the weekend in Dar es Salaam started on Friday. Kalito’s Way Group (KWG) is now inviting the city to start a day early. The reason is simple. After a long week, many people leaving the office don’t want to go straight home. They want somewhere to go, something to see […]
DC Lugangira ataka uwajibikaji, uadilifu bima ya afya kwa wote
Arusha. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Neema Lugangira, amewataka viongozi na watumishi wa sekta ya afya kuzingatia uadilifu, uwazi na uwajibikaji katika utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote, ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora bila vikwazo. Amesema viongozi wa wilaya, halmashauri na wataalamu wa afya katika ngazi zote wana wajibu wa kuhakikisha […]
Vyuo vya Afrika, Norway vyafichua tija tafiti za nishati safi
Unguja. Watafiti na wahadhiri kutoka vyuo vikuu vya Afrika na Norway wameeleza mafanikio ya miaka 20 ya ushirikiano katika tafiti za nishati safi na jadidifu, ikiwamo teknolojia za kupikia kwa jua na kuzalisha umeme. Mkutano huo wa kutathmini mafanikio ya Mtandao wa Teknolojia ya Nishati wa NORHED II umehusisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam […]
Tanzania: The Little Things That Shape a Child’s Future
Dar es Salaam — EVERY parent wants to raise a child who is respectful, responsible and capable of making good decisions. However, raising a well-rounded child takes more than providing food, clothing and education. It requires love, patience, guidance and the example parents set every day. Parenting is a continuous process that begins during pregnancy […]
UN kuja na mpango kudhibiti matumizi ya akili unde
Dar es Salaam. Umoja wa Mataifa (UN) unaanzisha mpango mpya wa kushughulikia matumizi ya akili mnemba (AI) katika shughuli za kijeshi, ukiwa na lengo la kukabiliana na wasiwasi kuhusu hatari ambazo teknolojia hiyo inayokua kwa kasi inaweza kusababisha kwa binadamu. Mpango huo unakuja wakati UN ikiadhimisha miaka 81 tangu kuanzishwa kwake Oktoba 24, 1945, ikiwa […]
TotalEnergies yaimarisha usalama wa wanafunzi Buguruni Viziwi
Dar es Salaam. Wanafunzi 264 wa Shule ya Msingi Buguruni Viziwi wameanza kunufaika na jiko la kisasa linalotumia nishati safi ya kupikia pamoja na alama za usalama barabarani, baada ya shule hiyo kuibuka mshindi wa kitaifa wa Mpango wa Usalama Barabarani wa VIA mwaka 2025. Huduma hizo zimekabidhiwa na TotalEnergies Marketing Tanzania Limited kwa lengo […]
Makosa ya kibinadamu yanavyogharimu maisha ya watu kwa ajali barabarani
Dar es Salaam. Makosa ya kibinadamu yameendelea kuwa chanzo kikuu cha ajali za barabarani nchini, yakichangia asilimia 96.2 ya ajali zote. Makosa hayo yamesababisha ajali 1,296 kati ya 1,347 zilizorekodiwa mwaka 2025. Hali hiyo inaonyesha ukubwa wa changamoto ya uzingatiaji wa sheria na kanuni za usalama barabarani, huku uzembe wa madereva na vyombo vya moto […]
Tanzania targets 625,000 households in universal coverage’s second phase
Mtwara. Tanzania is targeting 625,000 households in the second phase of its Universal Health Insurance (UHI) programme, with the government pledging to pay premiums for people unable to afford them. The miniser for Health, Mohamed Mchengerwa, announced the target yesterday during the national launch of the second phase at Sabasaba Grounds in Mtwara. Similar launches […]