Habari za Dharura
Your blog category
Tanzania: Top Tanzanian Opposition Figure John Pambalu Charged With Treason
A senior official of Tanzania’s main opposition party, Chadema, John Pambalu, has been charged with treason, an offence that carries a potential death penalty. Pambalu, a member of the party’s national council and former youth wing leader, is accused of seeking to disrupt the 2025 general election through protests intended to intimidate the government. He […]
Pambalu naye kortini uhaini | Mwananchi
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Pambalu amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akikabiliwa na shtaka la uhaini. Pambalu, ambaye pia ni mjumbe wa Sekretarieti ya Taifa, Kamati Kuu na Baraza Kuu la Chadema, amesomewa shtaka hilo leo Jumatano, […]
Machinga Kariakoo watangaziwa ahueni | Mwananchi
Dar es Salaam. Wafanyabiashara wadogo, maarufu wamachinga waliopo Kariakoo, jijini Dar es Salaam, wanatarajiwa kuendelea na shughuli zao katika maeneo waliyoruhusiwa kukaa hadi soko lao linalopangwa kujengwa Jangwani litakapokamilika. Mwenyekiti wa Wamachinga Kariakoo, Steven Lusinde, amesema hayo leo Jumatano, Oktoba 21, 2026, alipokutana na wafanyabiashara hao kuwapa mrejesho wa mazungumzo yao na Waziri wa Nchi, […]
Watuhumiwa wawili wa mauaji, uporaji wauawa Arusha
Arusha. Watuhumiwa wawili waliokuwa wakitafutwa na polisi kwa tuhuma za kujihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu, yakiwamo mauaji na uporaji wa pikipiki, wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu kutokana na majeraha waliyopata katika mapambano na polisi. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa leo Alhamisi, Oktoba 22, 2026, na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine […]
Serikali yataka ujenzi unaostahimili mabadiliko ya tabianchi
Arusha. Serikali imewataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kuzingatia usanifu na ujenzi wa majengo na miundombinu inayoweza kustahimili athari za mabadiliko ya tabianchi, huku wakihimizwa kutumia teknolojia za kidijitali na mbinu endelevu kuboresha usalama, ubora na ufanisi wa miradi. Wito huo umetolewa leo Jumatano, Oktoba 21, 2026, na Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya, wakati […]
Viongozi wa vijiji Mtama, watuhumiwa kupewa fedha na wafugaji
Mtama. Baadhi ya viongozi wa serikali za vijiji na wenyeviti wa vitongoji katika Halmashauri ya Mtama wanatuhumiwa kupokea fedha kutoka kwa wafugaji wanaoingiza mifugo katika maeneo yao, hali inayodaiwa kuchangia kuongezeka kwa mifugo inayoingia bila kufuata utaratibu. Malalamiko hayo yameibuliwa leo Jumatano Oktoba 21, 2026, katika Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mtama. Baadhi ya […]
Foreign traders change tactics to operate businesses in Kariakoo
Dar es Salaam. Despite a government ban on foreign nationals engaging in businesses reserved for Tanzanians, some traders are allegedly continuing to operate by using locals’ names to obtain licences, moving goods to warehouses and selling them through less visible channels. The practice has raised questions about enforcement and the effectiveness of government operations aimed […]
Government targets 625,000 households in universal coverage’s second phase
Mtwara. Tanzania is targeting 625,000 households in the second phase of its Universal Health Insurance (UHI) programme, with the government pledging to pay premiums for people unable to afford them. The miniser for Health, Mohamed Mchengerwa, announced the target yesterday during the national launch of the second phase at Sabasaba Grounds in Mtwara. Similar launches […]
Wakongwe wataka hatua dhidi ya rushwa CCM
Dar es Salaam. Tuhuma za rushwa ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), zimewaibua makada wakongwe wanaotaka kurejeshwa kwa misingi ya chama, kuimarishwa kwa mafunzo ya maadili na kuchukuliwa hatua kwa watakaobainika kujihusisha na vitendo hivyo, ili kukomesha tatizo hilo. Kwa mujibu wa makada hao, tatizo linaanzia pale watu wanapotuhumiana hadharani kwa […]
Tanzania: Pamoja 2027 – Baba Deserves the Bigger Chicken
Africa — LET me declare an interest. I am African, a proud African, not only by complexion, but by heart, soul and spirit. Most interestingly, I am East African. So, as I squeeze myself between the arms of this old wooden chair, a family heirloom left behind by my grandfather decades ago when he answered […]