4 mins read

Wafanyabiashara Soko la Dampo walalama gharama za vyoo, Meya ajibu

Mwanza. Wafanyabiashara wa Soko la Dampo, lililopo Buhongwa jijini Mwanza, wameiomba Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuboresha huduma za usafi na kupunguza gharama za matumizi ya vyoo, wakieleza kuwa hali hiyo inawaongezea gharama za uendeshaji wa biashara zao zenye mitaji midogo. Wafanyabiashara hao wametoa malalamiko hayo leo Jumatano Oktoba 21, 2026, wakati wa ziara ya […]

1 min read

Tanzania: Mwinyi Calls for Action On Biodiversity Pledges

Zanzibar — ZANZIBAR President Hussein Mwinyi has called for concrete action, sustainable financing and community participation to translate global biodiversity commitments into tangible results that protect ecosystems and benefit local communities. Dr Mwinyi made the call on Friday while addressing the Leaders’ Summit on Biodiversity during the 17th Conference of the Parties (COP17) in Yerevan, […]

5 mins read

Serikali yatakiwa kuingilia kati mgogoro wa wachungaji, viongozi wa kimila Simiyu

Maswa. Mgogoro kati ya wachungaji wa Kikristo na viongozi wa kimila katika kijiji cha Sangamwalugesha, Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, umeingia katika hatua mpya baada ya wachungaji hao kutangaza maazimio ya kukataa kuongozwa na mamlaka za kimila katika shughuli za kijamii, hususan misiba. Wachungaji hao wameitaka serikali ya wilaya hiyo kuingilia kati mgogoro huo, wanaodai […]

5 mins read

Mfuko wa uwekezaji mashirika ya umma utakavyoleta mageuzi

Mpango wa Serikali wa kuanzisha Mfuko wa Uwekezaji wa Umma unatajwa na wachumi kuwa njia mpya ya kuleta mageuzi katika mashirika ya umma, kwa kuyawezesha kupata mitaji, kuongeza ufanisi, kupanua uwekezaji na kupunguza utegemezi wa ruzuku kutoka serikalini. Mfuko huo unaotarajiwa kukusanya mitaji na kuwekeza tena sehemu ya gawio linalozalishwa na mashirika ya umma, unatajwa […]

2 mins read

Pika Smart drive targets seven regions in promotion of electric cooking

Dar es Salaam. The second phase of the Pika Smart campaign has been launched in Kagera, with activities planned in seven regions to encourage households to adopt electricity as a clean, safe and affordable cooking alternative. The UK Government-funded initiative will also cover Geita, Shinyanga, Iringa, Mbeya, Songwe and Morogoro, using public awareness events, cooking […]

2 mins read

Mgombea wa AAFP, aahidi kutatua kero za wakulima Chamwino

Chamwino. Mgombea ubunge wa Jimbo la Chamwino kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Exavery Mapunda, ameahidi kutatua changamoto zinazowakabili wakulima, zikiwamo ucheleweshaji wa malipo ya mazao na migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji. Akizungumza na Mwananchi jijini Dodoma leo Alhamisi, Oktoba 22, 2026, Mapunda amesema wakulima wanakabiliwa na changamoto za kucheleweshewa fedha za mazao […]

4 mins read

Kisiki Hai yabadilisha maisha ya wakulima maeneo kame

Dodoma. Mpango wa Kisiki Hai umeanza kuboresha maisha ya wakulima katika maeneo yenye ukame nchini kwa kurejesha miti ya asili, kuimarisha rutuba ya ardhi na kuongeza mavuno, huku wakulima wakinufaika pia na upatikanaji wa kuni na malighafi za ujenzi. Akizungumza na Mwananchi hivi karibuni, Mwamini Kutosha, mkulima katika Kijiji cha Mkondai, Wilaya ya Bahi alisema […]

2 mins read

Jeshi la Polisi lawasaka watuhumiwa wengine wizi wa betri za CT Scan

Simiyu. Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linaendelea kuwatafuta watu wengine wanaodaiwa kuhusika na wizi wa betri 40 za mashine ya CT Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo, likisema halitataja majina ya waliokamatwa kwa sasa ili kutoharibu mwenendo wa upelelezi. Tukio hilo limeibua maswali kuhusu usalama wa vifaa vya hospitali na uwajibikaji wa […]