Habari za Dharura
Your blog category
More than half of breast cancer patients diagnosed late in Zanzibar
Unguja. More than half of breast cancer patients in Zanzibar are diagnosed at stages three and four, when the disease is already advanced, prompting health authorities to urge women to seek screening before symptoms appear. Speaking during the Pink October 2026 breast cancer awareness campaign on Friday, October 23, Health Minister Nassor Ahmed Mazrui said […]
Nondo amwangukia Ndejembi kuhusu bayoteknolojia
Dar es Salaam. Ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo imeshauri Serikali kuunda bodi ya kitaaluma ya bayoteknolojia na kuboresha mitaala ya vyuo vikuu ili kuendana na mahitaji ya sekta za afya, kilimo na viwanda. Mwenyekiti wa ngome hiyo, Abdul Nondo, amesema chama hicho kinapanga kuwasilisha mapendekezo hayo katika Ofisi ya Makamu wa Rais, inayoongozwa na Makamu […]
Heche: Katiba Mpya iwezeshe wananchi kuwawajibisha viongozi
Arusha. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema Tanzania inahitaji Katiba Mpya itakayowapa wananchi mamlaka ya kuwawajibisha viongozi wasiotimiza wajibu wao. Heche aliyasema hayo jana, Jumatano, Oktoba 21, 2026, akizungumza katika kongamano la Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) Mkoa wa Manyara lililofanyika Haydom, mkoani humo. Alisema Katiba Mpya inapaswa […]
Tanzania Advises Africa to Rely On Domestic Funding to Explore, Process, Refine Its Minerals
Accra — THE Minister for Minerals, Anthony Mavunde has called upon African nations to mobilise domestic resources to finance mineral exploration, processing and refining instead of relying heavily on foreign funding. Speaking when chairing a ministerial session at the Mining in Motion 2026 conference in Accra, Ghana, which discussed financing Africa’s mineral future, from exploration […]
Tanzania: Zanzibar to Fund Top Students’ University Education
Zanzibar — ZANZIBAR President Dr Hussein Ali Mwinyi has announced full government scholarships for Form Six students who attain Division One with three to five points from next year, in a move aimed at rewarding academic excellence and widening access to higher education. The initiative is intended to encourage students to excel academically and ensure […]
Tanzania: Govt Warns HR Officers Against Salary Delays
Zanzibar — ZANZIBAR’S government has urged human resources officers to uphold integrity, patriotism and accountability when implementing salary adjustments, warning against corruption, negligence and bureaucratic delays that could deny public servants their rightful benefits. Acting Principal Secretary in the President’s Office responsible for Constitution, Legal Affairs, Public Service and Good Governance, Omar Haji Gora, issued […]
Chadema yashinda mahakamani, yaendelea kudai Sh500 milioni za ruzuku
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepata ushindi Mahakama Kuu baada ya kutupwa kwa shauri dogo la maombi ya zuio lililolenga kukizuia kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za chama hadi kesi ya msingi kuhusu mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali ndani itakapoamuliwa. Wakati kikipata ushindi huo, Chadema inaendelea kufuatilia malimbikizo ya […]
Mahakama yawaachia huru watatu kesi ya mauaji Nzega
Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Tabora, imewaachia huru Hamisi Kusailwa, Kulwa Masanja na Mayunga Shija, waliokuwa wakikabiliwa na shtaka la kumuua Dase Kusailwa, baada ya kubaini mapungufu katika ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka. Miongoni mwa sababu zilizochangia uamuzi huo ni tofauti katika maelezo ya maungamo yaliyodaiwa kutolewa na washtakiwa, dosari katika […]
Tanzania: VP Warns Against Misuse of Public Funds
Iringa — VICE-PRESIDENT Deogratius Ndejembi has warned that the government will not tolerate the misuse of public funds, stressing that every shilling invested in development projects must deliver tangible benefits to Tanzanians. He issued the warning over the weekend when he laid the foundation stone for new buildings at Mkwawa University College of Education (MUCE) […]
Hoho, nyanya zapanda bei, vitunguu na karoti vyashuka Iringa
Iringa. Bei za baadhi ya mazao ya viungo katika masoko ya Manispaa ya Iringa zimepanda, huku mengine yakishuka, hali inayobadili gharama za manunuzi kwa wafanyabiashara na walaji. Bei ya hoho imepanda kutoka Sh5,000 hadi kati ya Sh15,000 na Sh17,000 kwa debe, huku nyanya zikiongezeka kutoka Sh25,000 hadi kati ya Sh33,000 na Sh35,000. Kwa upande mwingine, […]