8 mins read

Tanzania: Tasaf Helps Families Rewrite Their Poverty Stories

Mwanza — THE calm waters of Lake Victoria are becoming a source of hope and economic opportunity for low-income households in Ilemela Municipal Council, Mwanza Region, where fish farming is opening new pathways to better incomes and sustainable livelihoods. In Kayenze Ndogo Street, Bugogwa Ward, members of the Maliganya TASAF and Temeke TASAF groups are […]

7 mins read

Hashim Rungwe akwama kortini, fidia ya Sh1 bilioni yayeyuka

Kigoma.  Hashim Rungwe, mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), amekwama mahakamani baada ya madai yake ya kulipwa fidia ya Sh1 bilioni kukataliwa na mahakama ikatamka yeye si mmiliki halali wa kiwanja alichokuwa anadai. Rungwe ambaye katika hukumu hiyo mahakama imemtambua pia kwa jina lake maarufu la Sipunda, ni wakili wa kujitegemea. […]

2 mins read

Ridhiwani ampa mzabuni siku tatu kuongeza kasi, huku akimpa tahadhari

Chalinze. Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amempa siku tatu mzabuni anayejenga vyumba vinne vya madarasa katika Shule ya Msingi Kidogozero, Wilayani Chalinze, Mkoa wa Pwani, kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo, akionya kuwa anaweza kuchukuliwa hatua ikiwamo kuondolewa. Ridhiwani ametoa agizo hilo leo Alhamisi, Oktoba 22, 2026, alipokuwa anakagua miradi ya maendeleo katika sekta […]

4 mins read

Rais Mwinyi atangaza ufadhili wanafunzi watakaopata daraja la kwanza Zanzibar

Unguja. Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuanzia mwakani, Serikali itatoa ufadhili kamili wa masomo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wote watakaopata Daraja la Kwanza lenye alama tatu hadi tano katika mitihani ya taifa, bila kujali fani wanayosoma. Rais Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Oktoba 21, 2026 katika hafla maalumu iliyofanyika Ikulu […]

4 mins read

Wahandisi wajifungia kusuka mikakati utatuzi changamoto za viwanda, ajira

Unguja. Kongamano la tisa la kimataifa la uhandisi mitambo na viwanda limekusudia kutafuta suluhisho la changamoto zinazoikabili jamii katika sekta za viwanda, ujenzi na miundombinu ya barabara. Kongamano hilo linawakutanisha wataalamu wa uhandisi kutoka ndani na nje ya Tanzania kujadili changamoto hizo na kuibua ubunifu utakaosaidia kuboresha uzalishaji na kuchochea maendeleo endelevu. Hayo yamebainishwa leo […]

4 mins read

Siku tatu za mateso ya usafiri Mbeya, wananchi wapaza sauti

Mbeya. Siku tatu za usumbufu wa usafiri jijini Mbeya zimeibua kilio kwa wananchi wanaotegemea bajaji kufika kazini, kufanya biashara na kusafirisha bidhaa, huku wakiiomba Serikali kuwashirikisha wadau kabla ya kufanya maamuzi yanayoweza kuathiri shughuli zao za kila siku. Wamesisitiza kuwa maamuzi kuhusu matumizi ya barabara yanapaswa kuzingatia mahitaji ya wananchi, hali halisi ya miundombinu na […]

4 mins read

Tanzania explores nuclear power to diversify energy mix

Dar es Salaam. Tanzania is exploring nuclear technology as part of efforts to diversify its energy mix and meet projected electricity demand of 70,000 megawatts by 2050, with discussions under way with Russia’s state-owned nuclear energy company Rosatom. The move comes as the country’s installed generation capacity reaches 4,646MW, against peak demand of about 2,271MW, […]