Habari za Dharura
Your blog category
Government sets six-month deadline for startup policy
Dar es Salaam. The government has given the Ministry of Industry and Trade six months to complete a dedicated startup policy intended to improve access to capital, coordinate support across economic sectors and create conditions for innovative businesses to grow. Vice President Deogratius Ndejembi issued the directive yesterday when opening Startup Week in Dar es […]
VP’s Mbeya visit eases traffic as Tanroads opens 106 access routes
Mbeya. The Tanzania National Roads Agency (Tanroads) in Mbeya Region has opened 106 access routes along a major road construction project to ease traffic congestion and allow residents to continue with their economic activities. The move follows directives issued by Vice President Deogratius Ndejembi during his visit to Mbeya on October 16 and 17, when […]
ICC yashinda Tuzo ya Sakharov
Dar es Salaam. Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na maofisa wake wameshinda Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026, inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa kutambua mchango wa watu na taasisi katika kutetea haki za binadamu na uhuru wa msingi. Ushindi wa ICC umetangazwa leo Oktoba 22, 2026 na Rais wa […]
Jumba la kifahari la Jammeh nchini Marekani lapigwa mnada
Banjul. Serikali ya Gambia imethibitisha kupokea zaidi ya Dola za Marekani milioni 2.57, sawa na takribani Sh6.79 bilioni, zilizotokana na kuuzwa kwa jumba la kifahari lililokuwa linamilikiwa na rais wa zamani wa nchi hiyo, Yahya Jammeh, nchini Marekani. Fedha hizo zimewekwa katika akaunti ya Mfuko wa Fidia kwa Waathirika katika Benki Kuu ya Gambia na […]
Naberera walalamikia tembo kuua mtoto na kuharibu mazao
Simanjiro. Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Naberera wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wameiomba Serikali kuwadhibiti tembo wanaovamia makazi yao, kwani wamesababisha kifo cha mtoto mdogo na kuharibu mazao. Mmoja wa wakazi wa kijiji hicho, Emmanuel Mollel (Hugo) akizungumza leo Alhamsi, Oktoba 22, 2026 amesema ni vyema Serikali kuingilia kati na kuwadhibiti tembo hao ili wasisababishe […]
How Tanzania, Germany are working to keep the Serengeti promise alive
The Serengeti ecosystem is a million years old, but the national park is just 75 years old, officially established in 1951. The aging UNESCO World Heritage site has just undergone a facelift. On October 7, Germany and Tanzania inaugurated the newly rehabilitated Serengeti Information Centre as part of their longstanding partnership in biodiversity conservation, sustainable […]
PPAA digitalises procurement appeals to cut costs, delays
Arusha. The Public Procurement Appeals Authority (PPAA) has introduced a mobile application to enable tender bidders to lodge complaints and appeals against procurement decisions, aiming to reduce costs and speed up dispute resolution. PPAA Head of Legal Services Agnes Sayi said the service is accessible through Tanzania’s National e-Procurement System (NeST), provided users have a […]
Two Tanzanians reportedly killed in Russia-Ukraine war as recruitment networks face scrutiny
Two Tanzanian nationals have reportedly died while serving in the Russian Armed Forces, raising concerns about the recruitment of young Africans into the Russia-Ukraine war through overseas employment opportunities. The two men, identified as Mosha Elikunda Elibapiki, 22, and Samimik Samveli Peter, 32, reportedly died in July 2025, according to information published by StopRussianRecruiters.org, a […]
Azimio la Dar lasisitiza ushawishi wa vijana kwenye mabadiliko ya tabianchi
Dar es Salaam. Vijana 61 kutoka nchi 17 za Afrika wamehitimu mafunzo ya majadiliano ya kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi. Lengo likiwa kuongeza ushawishi wa vijana wa Afrika katika maamuzi yanayohusu mustakabali wa bara hilo. Azimio hilo linaweka msisitizo katika kuhamisha ushiriki wa vijana kutoka kuhudhuria mikutano hadi kuwa na sauti yenye ushawishi katika majadiliano, […]
Familia ya Odinga ‘yagawanyika’ kuelekea uchaguzi mkuu 2027
Raila Odinga Junior ametangaza kumuunga mkono Rais wa Kenya, William Ruto katika azma yake ya kuwania tena muhula wa pili, huku akisisitiza kuwa ataendelea kubaki katika chama cha Orange Democratic Movement (ODM), msimamo unaomtofautisha na baadhi ya wanafamilia yake wanaopinga ushirikiano wa chama hicho na Serikali ya Kenya Kwanza. Junior, mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu […]