2 mins read

Rais Samia kuzindua Mji wa Kiserikali Oktoba 30

Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzindua Mji wa Serikali wa Mtumba, jijini Dodoma unaojulikana kama Magufuli City, Ijumaa ya Oktoba 30, 2026, katika hatua inayotarajiwa kukamilisha rasmi mchakato wa kuhamishia makao makuu ya Serikali jijini Dodoma. Awali, uzinduzi huo ulikuwa ufanyike Septemba 8, 2026 na Rais Samia lakini uliahirishwa kufuatia kifo cha mume wa […]

4 mins read

Kifungo cha maisha jela chamng’ang’ania aliyemlawiti mtoto wa miaka mitatu

Arusha. Mahakama ya Rufani imethibitisha hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa Razaki Sadiki, aliyepatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu, ikisema ushahidi uliobaki baada ya kuondoa vielelezo viwili ulitosha kuthibitisha kosa hilo. Katika hukumu iliyotolewa Oktoba 23, 2026 na kuwekwa kwenye mtandao wa mahakama, majaji watatu wa Mahakama […]

2 mins read

Ireland backs child protection desks, restores Tanga resource centre

Pangani. Ireland has contributed Sh140.8 million towards restoring a fire-damaged community resource centre in Tanga Region and supported the establishment of 12 school child protection desks to help pupils report abuse and improve their safety. Ireland’s Ambassador to Tanzania, Nicola Brennan, announced the support when she reopened the UZIKWASA Resource Centre and launched the desks […]

2 mins read

Saccos zahimizwa kuwekeza katika Tehama

Arusha. Vyama vya kuweka na kukopa (Saccos) vimetakiwa kuwekeza na kuendeleza matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) ili kurahisisha huduma kwa wanachama na kuchochea ukuaji wa mitaji. Wito huo umetolewa Oktoba 24, 2026 na Naibu Mkurugenzi Mtendaji (Uzalishaji) wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Anthony Mbushi, wakati akizungumza katika mkutano mkuu wa […]

4 mins read

Tanzania, Kenya zilivyojipanga kuimarisha ulinzi wa mpaka Horohoro

Mkinga. Polisi wa Tanzania na Kenya wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiusalama katika mpaka wa Horohoro, Wilaya ya Mkinga, mkoani Tanga, ili kudhibiti wahalifu wanaovuka mipaka kujificha baada ya kutenda uhalifu na kuzuia biashara haramu ya mirungi. Hatua hiyo inalenga kukabiliana na changamoto ya watu wanaotenda uhalifu nchini Tanzania na kukimbilia Kenya, pamoja na wanaofanya uhalifu […]

5 mins read

Kapinga ataka mikopo izalishe viwanda, ajira

Kahama. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameitaka Serikali na wadau wa maendeleo ya viwanda nchini kuelekeza nguvu katika kuwawezesha wajasiriamali wenye uwezo wa kuongeza thamani ya bidhaa, kuanzisha viwanda na kutengeneza ajira. Amesema tathmini ya uwezeshaji wa mitaji haipaswi kuishia katika idadi ya watu wanaopata mikopo, bali pia kuangalia uwezo wa miradi kuongeza […]