2 mins read

Tanzania steps up Afcon 2027 preparations

Arusha. Tanzania is stepping up preparations for the 2027 Africa Cup of Nations (Afcon), with the government urging investors to speed up hotel and accommodation projects to meet rising demand from visitors. Minister for Natural Resources and Tourism, Dr Ashatu Kijaji, said the government was inspecting tourism facilities in areas expected to receive visitors during […]

4 mins read

Vijana watakiwa kutumia vipaji, teknolojia kujiletea maendeleo

Dar es Salaam. Vijana nchini wametakiwa kutambua na kukuza vipaji vyao, kutumia teknolojia na kujifunza ujuzi mbalimbali ili kujitengenezea fursa za ajira na ujasiriamali badala ya kutegemea kuajiriwa pekee. Wito huo umetolewa leo Jumamosi, Oktoba 24, 2026, na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Wanawake Wafanyabiashara Jumuiya ya Afrika Mashariki, Janice Kimaro, wakati wa uzinduzi wa […]

3 mins read

Kanisa Katoliki litakavyowaombea waliothiriwa na vurugu za Oktoba 29

Dar es Salaam. Mwaka mmoja baada ya matukio ya yaliyoambatana na Uchaguzi Mkuu wa 2025, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limezitaka parokia, vituo vya sala na taasisi za Kanisa Katoliki nchini kuadhimisha misa takatifu maalumu ya kuwaombea watu waliouawa, waliopotea, waliojeruhiwa na waathirika wengine wa matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi huo. Wito huo umetolewa […]

2 mins read

Utafiti: Nishati ya jua kutumika kupikia

Unguja. Utafiti mpya katika sekta ya nishati safi unaonyesha uwezekano wa kuanza kutumia nishati ya jua kwa ajili ya kupikia, hatua inayotajwa kuwa itakuwa mkombozi kwa jamii hususani wanawake. Hayo yamebainishwa na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), anayeshughulikia masuala ya utafiti, Profesa Nelson Boniface kwenye kongamano la tisa la […]

3 mins read

Moto wateketeza vibanda 26 soko la Veterinary Dar

Dar es Salaam. Vibanda 26 kati ya 230 vilivyopo katika Soko la Veterinary, Temeke, vimeteketea kwa moto usiku wa kuamkia Oktoba 24, 2026, huku wafanyabiashara walioathirika wakikabiliwa na hasara baada ya mali zao kuteketea. Moto huo umeathiri vibanda vilivyojengwa kwa mbao na kuezekwa kwa mabati, huku mpangilio wake wa kuungana kwa karibu ukitajwa kuwa miongoni […]