1 min read

GEMS International School of Zanzibar set to begin construction with capacity for 1,500 students

Zanzibar. Construction of the GEMS International School of Zanzibar is expected to begin soon, with the new institution designed to accommodate up to 1,500 students as the islands seek to expand educational infrastructure. The school’s planned capacity has been increased from 1,100 to 1,500 students following an assessment of anticipated demand, adding 400 places to […]

3 mins read

Serikali yataka mikakati kudhibiti matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

Arusha. Serikali imewataka vijana kutoa mapendekezo ya kukabiliana na matumizi ya pombe, vinywaji vya kuongeza nguvu na dawa za kuongeza nguvu za kiume, ikisema changamoto hizo zinapaswa kupewa uzito katika mipango ya kulinda afya na ustawi wa kizazi kijacho. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 24, 2026 jijini Arusha na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu […]

5 mins read

Lema ataka wananchi watetee haki, wapinge maovu

Morogoro. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Godbless Lema, amesema mabadiliko ya uongozi pekee hayawezi kutatua changamoto za Tanzania iwapo wananchi hawatajenga utamaduni wa kutetea haki, kupinga maovu na kuwawajibisha viongozi, akionya kuwa matatizo yanaweza kuendelea hata baada ya chama kingine kuingia madarakani. Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa chama hicho Uwanja wa Shule ya […]

2 mins read

Serikali yakana kuwalazimisha Machinga kuhamia eneo jipya

Dodoma. Halmashauri ya Jiji la Dodoma imekanusha kuwahamisha wafanyabiashara wadogo (Machinga) kutoka eneo la One Way kwenda Dodoma Inn kama ilivyoelezwa na wafanyabiashara hao siku ya jana. Ufafanuzi huo unakuja kufuatia malalamiko yaliotolewa na wafanyabishara hao siku ya jana Ijumaa, 23, Agosti 2026 wakidai kuwa Halmashauri ya Jiji hilo imewafukuza katika eneo la One Way […]

2 mins read

Mvua, upepo mkali zabomoa nyumba 360 Bunda, tahadhali ya El-Nino yatolewa

Bunda. Nyumba zaidi ya 360 zimepata madhara mbalimbali ikiwepo kubomoka kufuatia mvua zilizoambatana na upepo mkali kunyesha katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya familia zimelazimika kupata hifadhi kwa ndugu, jamaa na marafiki huku Serikali ikitoa msaada wa chakula kwa familia hizo. Takwimu hizo zimetolewa leo Jumamosi Oktoba 24, 2026 […]

3 mins read

Tanzania braces for heavy rains as El Niño raises flood risks

Dar es Salaam. Tanzania is bracing for wetter-than-usual conditions during the first half of the November 2026 to April 2027 rainy season, with the Tanzania Meteorological Authority (TMA) warning of possible flooding, crop losses and transport disruptions. The outlook points to very strong El Niño conditions between November and January, alongside a positive Indian Ocean […]

1 min read

Tanesco Sacco assets double to Sh87 billion

Arusha. Assets held by Tanesco Savings and Credit Cooperative Society (Sacco) have more than doubled over the past decade, rising from Sh37 billion to Sh87 billion, as the institution expands its savings and lending services. Members’ savings reached Sh72 billion in September 2026, up from Sh62 billion, while the Sacco’s capital stood at Sh7.5 billion. […]