Habari za Dharura
Your blog category
Wataka boti ya doria kudhibiti wizi, kuimarisha uhifadhi
Unguja. Kikundi cha Uimarishaji na Uhifadhi Majongoo cha Unguja Ukuu Kaepwani, Wilaya ya Kati Unguja, kimeeleza dhamira yake ya kuendelea kutunza mazingira ya bahari ili kukuza biashara endelevu na utalii. Mwenyekiti msaidizi wa kikundi hicho, Soud Faki Hamad ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Uchumi wa Bluu na Uvuvi kuwapatia boti, hata kama ni ya mkopo, […]
Nyumba 35 zaezuliwa Hanang, DC awatembelea waathirika
Hanang. Nyumba 35 zilizopo mji mdogo wa Katesh, Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, zimeezuliwa na upepo mkali baada ya mvua kubwa kunyesha katika eneo hilo. Nyumba hizo zimeezuliwa jana Oktoba 24, 2026, hivyo kuathiri kaya 35 zilizokuwa zinazoishi katika nyumba hizo. Mkuu wa wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, Vita Kawawa akikagua nyumba zilizoezuliwa na upepo […]
Safari ya viwanda Zanzibar yaanzia vyuo vya amali
Unguja. Mamlaka ya Mafunzo ya Amali (VTA) imetangaza hatua mpya ya kuijenga Zanzibar ya viwanda kupitia ushirikiano na wadau wa maendeleo pamoja na uimarishaji wa mafunzo ya amali katika vyuo vyake. Mambo hayo yatafanikiwa baada ya utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya VTA na kampuni mbili za F. Living na RES Inspection zitakazosaidia […]
Aliyehukumiwa kifo kwa kumuua mkewe aachiwa huru
Arusha. Mahakama ya Rufani nchini imemwachia huru Michael Thomas aliyekuwa amehukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya mkewe, Maria Raymond, baada ya kubaini kuwa ushahidi uliotumika kumtia hatiani haukuthibitisha bila shaka ya msingi kuwa ndiye aliyemuua. Imesema Mahakama Kuu ilikosea kutumia kanuni ya mtu wa mwisho kuonekana na marehemu, kwa kuwa ushahidi haukuonyesha kuwa mrufani ndiye mtu […]
Nyuma ya pazia mabadiliko ya ratiba ya mitihani UDSM
Dar es Salaam. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wanaweza kuchelewa kuhitimu na kuongeza gharama za masomo na maisha iwapo watafanya mitihani ya marudio au maalumu katika kalenda ya kawaida ya mitihani, mabadiliko ambayo yameibua mjadala kuhusu athari zake kwa wanafunzi na ufanisi wa kitaaluma. Wasiwasi huo umeibuka baada ya chuo hicho […]
Takwimu za saratani ya matiti zapaa
Dar/Tanga. Wanawake tisa kati ya 10 wanaogundulika kuwa na saratani ya matiti nchini hufika hospitalini ugonjwa ukiwa katika hatua za juu, hali inayopunguza nafasi za kupata matibabu yenye matokeo mazuri. Takwimu za wataalamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) zinaonyesha kuwa asilimia 86 ya wagonjwa wa saratani ya matiti wanaofika hospitalini hugundulika wakiwa katika hatua […]
PENGO LA UJUMUISHAJI: Akaunti za wenye ulemavu ziko hatarini
Unguja. Watu wenye ulemavu wanakabiliwa na vikwazo katika kupata huduma za kifedha, huku ulinzi wa taarifa zao binafsi, miundombinu isiyofikika na ukosefu wa huduma rafiki vikibainika kuwa miongoni mwa changamoto zinazowazuia kunufaika kikamilifu na huduma hizo. Utafiti wa awali kuhusu ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu katika huduma za kifedha na kiuchumi, umebaini licha ya kundi […]
Tanzania’s education loans go fully digital with new tech to end payment delays
Dar es Salaam. Thousands of university and college students in Tanzania can now breathe a sigh of relief following the launch of a mobile phone application designed to streamline access to higher education loans. The new app, ‘HESLB APP’, eliminates delays and bureaucratic hurdles that have for years frustrated beneficiaries. The mobile solution, launched on […]
Why Zanzibar taxman exceeded first-quarter revenue target
Unguja. The Zanzibar Revenue Authority (ZRA) has exceeded its revenue collection target for the first quarter of the 2026/27 financial year, attributing the performance to improved economic activity and increased use of electronic systems. In a statement issued to the public on Friday, October 2, 2026, ZRA Head of Information, Public Relations and Customer Services […]
Zanzibar tests new financing model to improve antenatal care
Dar es Salaam. Zanzibar is testing a health financing model that uses targeted funding and digital tracking to keep poor and high-risk pregnant women in care as the government works towards a more sustainable health financing system. The Zanzibar Health Services Fund (ZHSF) Mothers Care model is designed to ensure limited resources follow vulnerable women […]