Habari za Dharura
Your blog category
Ripoti za CAG kulipima Bunge la 13, Halima Mdee akifunguka
Dodoma. Mkutano wa tano wa Bunge unatarajiwa kuanza leo jijini Dodoma, huku macho na masikio ya wananchi yakielekezwa kwenye michango ya wabunge kuhusu ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Hata hivyo, baadhi ya wabunge wa zamani wanatabiri kuwa mijadala mingi haitakuwa na makali, wakieleza kuwa muundo wa Bunge la 13, […]
Ishinde water gap: Why some residents are still missing out
Same. More than Sh300 billion is being spent to expand water access across Kilimanjaro and Tanga. But in Same District’s Ishinde Village, some residents are still waiting for the reliable water supply the investment was meant to deliver. The disparity raises a critical question: why has a major public investment not translated into equal access […]
Tunaweza kujenga mazingira salama na rafiki kwa watoto shuleni
Dar es Salaam. Katika ulimwengu wa leo unaobadilika kwa kasi, suala la usalama na ustawi wa watoto katika mazingira ya kujifunzia limekuwa ajenda muhimu kwa wazazi, walimu na jamii kwa ujumla. Kauli mbiu ya “Ujenzi wa mazingira salama na rafiki ya kujifunzia shuleni’, imekuwa mwongozo unaoibua mjadala mpana kuhusu namna bora ya kuhakikisha watoto wanapata […]
Sababu wanawake kuongezeka vyuoni | Mwananchi
Dar es Salaam. Kuongezeka kwa fursa za elimu kwa wasichana, juhudi za kupunguza pengo la kijinsia na mabadiliko ya mitazamo kuhusu nafasi ya mwanamke, ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuongezeka kwa wanawake wanaofikia elimu ya juu, hatua inayozidi kubadili taswira ya vyuo vikuu nchini. Mjadala huo umeibuka baada ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar […]
Executive publishes book on balancing career, family
Dar es Salaam. Tanzanian energy-sector executive Marsha Msuya Kilewo has published a book exploring leadership, motherhood, faith and the challenge of pursuing professional success without losing one’s identity. Titled The Table Got Bigger, the book draws on her experiences in corporate leadership to examine how professionals can balance career ambitions with family responsibilities, personal values […]
Ni hatari kuskani misimbo ya QR usiyoijua
Dar es Salaam. Urahisi wa kutumia misimbo ya QR kufungua tovuti, kupata taarifa za bidhaa na kufanya malipo unaweza kuwa chanzo cha hatari kwa watumiaji pale wahalifu wanapoitumia kuwaelekeza kwenye tovuti bandia zinazolenga kuiba taarifa binafsi na fedha. QR code ni alama ya picha inayoweza kusomwa kwa kutumia kamera ya simu, ili kufungua kiungo cha […]
Wananchi Moshi walalamikia uhaba wa maji, Muwsa yaeleza chanzo
Moshi. Baadhi ya wananchi wa kata za Longuo B, Msaranga na Ng’ambo, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia uhaba wa maji safi na salama unaowalazimu kununua ndoo moja kwa Sh500 hadi Sh1,000, huku wengine wakiamka usiku kutafuta huduma hiyo. Wamesema hali hiyo imewaathiri katika shughuli za nyumbani, ikiwemo kupika, kuoga na kutumia vyoo vya ndani, […]
Transport minister warns Turkish firm over SGR construction delays
Bukene. Transport Minister Makame Mbarawa has warned Turkish contractor Yapi Merkezi over delays in the construction of the 165-kilometre Tabora–Isaka section of the Standard Gauge Railway (SGR), while praising Chinese subcontractor CCECC for accelerating work. Prof Mbarawa said China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) had achieved five per cent progress in September and October 2026 […]
Video za wahitimu kidato cha nne zawaibua wadau
Dar es Salaam. Pengo katika malezi. Hiyo ndiyo tafsiri ya wadau wa elimu na malezi kuhusu vitendo vya baadhi ya wanafunzi wa kidato cha nne kuchana madaftari na sare za shule na kutoa kauli tata baada ya kumaliza kufanya mitihani ya kuhitimu kidato cha nne. Katika video zinazosambaa mitandaoni, baadhi ya wanafunzi wameonekana wakichana na […]
Trafiki asimulia madai kupigwa na Dk Kahyoza wa Muhimbili
Dar es Salaam. Askari wa Usalama Barabarani, F.8886 Sajenti Andrew, amesimulia mahakamani namna alivyoshambuliwa kwa ngumi usoni na daktari bingwa wa magonjwa ya ndani wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), tawi la Mlonganzila, Dk Conrad Kahyoza, wakati akitekeleza majukumu yake. Sajenti Andrew ametoa ushahidi huo Jumatatu, Oktoba 26, 2026, katika Mahakama ya Wilaya ya […]