1 min read

Jeshi la Polisi laonya wanaohamasisha kufanyika vurugu

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi nchini, limewaonya baadhi ya viongozi wa dini, wanaharakati na wanasiasa ambao wamekuwa wakifanya vikao vya siri vya kuhamasiha watu kutaka kujiingiza kwenye uhalifu. Katika tamko lake kwa umma alilolitoa leo Jumatatu Oktoba 26,2026,  Msemaji wa Jeshi hilo, David Misime amesema, kumekuwepo na mipango, matamko na uhamasihaji  unaofanywa na viongozi […]

2 mins read

Mangapwani kuwa kitovu cha mapato ya forodha

Unguja. Waziri wa Fedha wa Tanzania, Khamis Mussa Omar amesema Bandari Jumuishi ya Mangapwani inatarajiwa kuwa chanzo kikubwa cha mapato kwa nchi baada ya kukamilika kwa ujenzi wake. Kutokana na matarajio hayo, amezitaka taasisi zinazohusika na utoaji huduma bandarini, ikiwamo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC), kuanza maandalizi mapema kwa […]

3 mins read

Kauli ya Ubalozi wa Tanzania madai ya  Mwaipaya kutekwa  Nairobi

Nairobi. Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Bernard Kibesse amesema wanafuatilia madai ya kutekwa kwa Mtanzania, Twaha Mwaipaya huku vuguvugu la kisiasa la Linda Mwananchi nchini humo likilaani tukio la kutoweka kwa mwanaharakati huyo. Mwaipaya aliyewahi kuwa Mratibu wa Hamasa wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) Taifa, anadaiwa kutekwa jana Jumapili Oktoba 25, 2026, […]

3 mins read

Police expose dangerous traffic violations

Dar es Salaam. Night-time police operations across Tanzania have exposed traffic violations, raising concerns over passenger safety during late-hour journeys. The violations range from unlicensed drivers and overloaded buses to a lorry driver suspected of driving under the influence of alcohol, according to police reports. On October 22, police in Kilimanjaro Region arrested a lorry […]

4 mins read

Serikali yaonya kuhusu dhana ya utajiri wa haraka soko la hisa

Dar es Salaam. Serikali imewataka wadau wa soko la mitaji nchini kuepuka kuwajengea Watanzania dhana kuwa uwekezaji katika soko la hisa ni njia ya kupata utajiri wa haraka, ikionya kuwa mtazamo huo unaweza kupotosha wawekezaji na kuwaweka katika hatari ya kupoteza fedha zao. Badala yake, imesisitiza umuhimu wa kutoa elimu itakayowawezesha wananchi kuelewa fursa, gharama, […]

4 mins read

Kamera za kisasa kudhibiti ukatili watoto majumbani

Mbeya. Wazazi wanaotumia muda mwingi kazini au katika shughuli za biashara wanaweza kufuatilia mazingira ya watoto wao wakiwa mbali kupitia kamera za kisasa zinazo unganishwa na simu janja, hatua inayoweza kusaidia kubaini mapema matukio yanayohitaji uangalizi. Kwa upande wa familia, kamera zinaweza kuwa nyenzo ya ziada ya kufuatilia mazingira ya watoto, hasa wanapokuwa chini ya […]