Habari za Dharura
Your blog category
Mangapwani kuwa kitovu cha mapato ya forodha
Unguja. Waziri wa Fedha wa Tanzania, Khamis Mussa Omar amesema Bandari Jumuishi ya Mangapwani inatarajiwa kuwa chanzo kikubwa cha mapato kwa nchi baada ya kukamilika kwa ujenzi wake. Kutokana na matarajio hayo, amezitaka taasisi zinazohusika na utoaji huduma bandarini, ikiwamo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC), kuanza maandalizi mapema kwa […]
Waziri Ulega awataka watendaji kutumia madaraka kwa uadilifu
Babati. Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega, amewataka viongozi na watendaji wa mamlaka za Serikali za mitaa kutumia madaraka waliyopewa kwa uadilifu, kuzingatia sheria na kuheshimu haki za binadamu ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Ulega ametoa wito huo leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026, mjini Babati, Mkoa wa Manyara, alipofungua mafunzo ya elimu […]
Mradi wa umeme Songea –Tunduru kufungua fursa za kiuchumi kusini
Songea. Mradi wa kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Songea hadi Tunduru, wenye urefu wa kilomita 214 utasaidia kuimarisha Gridi ya Taifa. Hivyo, Waziri wa Nishati, Dk Juma Homera amemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi huo aongeze kasi ya kazi ili ukamilike kwa wakati. Mradi huo unajumuisha pia ujenzi wa Kituo cha Kupokea, Kupoza na […]
Kauli ya Ubalozi wa Tanzania madai ya Mwaipaya kutekwa Nairobi
Nairobi. Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Bernard Kibesse amesema wanafuatilia madai ya kutekwa kwa Mtanzania, Twaha Mwaipaya huku vuguvugu la kisiasa la Linda Mwananchi nchini humo likilaani tukio la kutoweka kwa mwanaharakati huyo. Mwaipaya aliyewahi kuwa Mratibu wa Hamasa wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) Taifa, anadaiwa kutekwa jana Jumapili Oktoba 25, 2026, […]
Police expose dangerous traffic violations
Dar es Salaam. Night-time police operations across Tanzania have exposed traffic violations, raising concerns over passenger safety during late-hour journeys. The violations range from unlicensed drivers and overloaded buses to a lorry driver suspected of driving under the influence of alcohol, according to police reports. On October 22, police in Kilimanjaro Region arrested a lorry […]
Dodoma yakabiliwa na upungufu wa maji lita milioni 68 kwa siku
Dodoma. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (Duwasa) imeeleza kuwa jiji hilo linakabiliwa na upungufu wa lita milioni 68 za maji kwa siku, hali inayosababisha baadhi ya wakazi kuendelea kupata huduma hiyo kwa mgao. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Oktoba 26, 2026 jijini Dodoma, Mkurugenzi Mtendaji wa Duwasa, Aaron Joseph, amesema […]
Serikali yaonya kuhusu dhana ya utajiri wa haraka soko la hisa
Dar es Salaam. Serikali imewataka wadau wa soko la mitaji nchini kuepuka kuwajengea Watanzania dhana kuwa uwekezaji katika soko la hisa ni njia ya kupata utajiri wa haraka, ikionya kuwa mtazamo huo unaweza kupotosha wawekezaji na kuwaweka katika hatari ya kupoteza fedha zao. Badala yake, imesisitiza umuhimu wa kutoa elimu itakayowawezesha wananchi kuelewa fursa, gharama, […]
Kamera za kisasa kudhibiti ukatili watoto majumbani
Mbeya. Wazazi wanaotumia muda mwingi kazini au katika shughuli za biashara wanaweza kufuatilia mazingira ya watoto wao wakiwa mbali kupitia kamera za kisasa zinazo unganishwa na simu janja, hatua inayoweza kusaidia kubaini mapema matukio yanayohitaji uangalizi. Kwa upande wa familia, kamera zinaweza kuwa nyenzo ya ziada ya kufuatilia mazingira ya watoto, hasa wanapokuwa chini ya […]
Moshi: Walalamikia uhaba wa maji, wanunua ndoo Sh1,000
Moshi. Baadhi ya wananchi wa kata za Longuo B, Msaranga na Ng’ambo, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kukosekana kwa maji safi na salama kwa siku kadhaa hali inayowalazimu kununua ndoo moja kwa Sh500 hadi Sh1,000 ili kukidhi mahitaji ya kila siku. Wananchi hao wamesema kukosekana kwa huduma hiyo kwa muda mrefu kumewaathiri katika shughuli […]
RC James aeleza nafasi ya wauguzi katika jamii
Iringa. Wakati wagonjwa wanapokabiliwa na maumivu, hofu na nyakati ngumu za kiafya, wauguzi ni miongoni mwa watoa huduma wanaokutana nao katika hatua mbalimbali za maisha yao, hali inayoonesha nafasi muhimu ya kada hiyo katika jamii. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amesema wauguzi ni watu muhimu katika maisha ya binadamu kutokana na nafasi yao […]