4 mins read

Epuka mambo yanayomfanya mtoto ajione hana thamani

Dar es Salaam. Katika maisha ya mtoto, familia ndiyo sehemu ya kwanza anayojifunza kutambua thamani yake, kujenga kujiamini na kuelewa namna anavyopaswa kuhusiana na watu wengine. Hata hivyo, baadhi ya wazazi, bila kutambua athari zake, wamekuwa wakitumia mbinu za malezi zinazoweza kuwafanya watoto wajione hawafai au hawana uwezo kama wenzao. Kwa mfano, mzazi anaweza kushindwa […]

4 mins read

Wataalamu wataja mbinu kulinda utajiri wa familia 

Dar es Salaam. Utajiri wa familia uliojengwa kwa miongo kadhaa, unaweza kupotea ndani ya kizazi kimoja ikiwa wamiliki wa biashara watashindwa kupanga mapema nani atakayechukua usimamizi na udhibiti wa mali zao, wataalamu wameonya. Migogoro ya kifamilia kuhusu umiliki, urithi, usimamizi wa biashara na matumizi ya mali, imekuwa ikitishia kuvunja uhusiano wa ndugu na kudhoofisha biashara zilizochukua […]

4 mins read

Maisha ya ndoa ni yenu wenza, watoto baadaye

Canada. Kuna ndoa tunaweza kusema si ndoa bali wawili waliowahi kuwa katika ndoa, kwa sababu ya kulazimika kwa sababu mbalimbali. Leo, tutaelezea ndoa zinazoonekana hai na imara kwa juu lakini zikiwa legelege na mfu kwa ndani. Katika kudurusu ndoa, tuligundua kuwa kuna wanandoa wanaishi nyumba moja lakini vyumba tofauti. Ukisikia kulazimika na si kupendana ndio […]

4 mins read

Dalili za kumtambua mwenza laghai

Katika baadhi ya uhusiano, mtu anaweza kuanza kupoteza kujiamini bila kuelewa chanzo cha mabadiliko hayo. Anaomba msamaha mara kwa mara, anaogopa kueleza hisia zake na hujikuta akibadilisha tabia ili kumfurahisha mwenza wake, hata pale ambapo hajaelewa kosa alilofanya. Hali hiyo inaweza kumfanya ajiulize, “Je, tatizo ni mimi?” Kadiri siku zinavyopita, anaweza kuanza kuamini kwamba kila […]

6 mins read

Pale unapolazimika kujitenga na familia ili uwe mtu timamu

Dodoma. Mwezi huu ukiisha nitakuwa nimekamilisha mwaka sijazungumza kabisa na mtu yeyote wa familia yangu,” ananiambia Jonas, mtoto wa kiongozi mmoja wa dini kwenye mazungumzo yetu hvi karibuni mjini Iringa.  Jonas ni kijana wa miaka 30 anayeonekana kuwa mchangamfu ingawa ni mtulivu kwa haiba.  Tunazungumza mengi kama sehemu ya maandalizi ya ndoa anayotarajia kuifunga mwakani. […]

2 mins read

Zanzibar warns land brokers over sale of government plots

Unguja. The Zanzibar Land Commission has warned land brokers and members of the public against selling or buying Government-reserved land set aside for development and agricultural projects. The warning was issued on Wednesday, September 30, 2026, by the commission’s Executive Secretary, Mussa Kombo Bakari, during a press briefing at the commission’s offices in Mwanakwerekwe, Unguja. […]

2 mins read

Zanzibar developer acquires new hotel in Stone Town

Zanzibar. Infinity Developments has acquired the Beyt Al Salaam Hotel in Stone Town in a multi-billion-shilling transaction, expanding its presence in Zanzibar’s hospitality and real estate market. The acquisition adds the heritage property to the developer’s growing portfolio of tourism-related investments on the islands, which includes Anantara Zanzibar Resort & Residences and the planned NH Collection […]

5 mins read

BoT yasisitiza Vicoba, watoa huduma za fedha kujisajili

Mbeya. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imevitaka vikundi vya kuweka na kukopa (Vicoba) na watoa huduma nyingine za kifedha kuhakikisha wanasajiliwa na kufuata matakwa ya sheria, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha usimamizi wa sekta hiyo na kulinda wananchi dhidi ya huduma zinazoweza kuwaumiza kiuchumi. Hatua hiyo inakuja wakati vikundi 100,000 vikiwa vimeingizwa kwenye mfumo nchini, […]

4 mins read

Magereza kuboresha huduma za afya, yaandaa mpango wa bima kwa wafungwa

Dodoma. Jeshi la Magereza Tanzania limeanza kuandaa utaratibu wa kutumia bima ya afya kwa wafungwa na mahabusu ili kupunguza gharama za matibabu, madeni yanayotokana na huduma hizo na kuboresha upatikanaji wa huduma za afya ndani ya vituo vya magereza nchini. Hatua hiyo inakuja wakati Jeshi hilo likiendelea kuboresha miundombinu ya afya, upatikanaji wa dawa na […]