4 mins read

Kamera za kisasa kudhibiti ukatili watoto majumbani

Mbeya. Wazazi wanaotumia muda mwingi kazini au katika shughuli za biashara wanaweza kufuatilia mazingira ya watoto wao wakiwa mbali kupitia kamera za kisasa zinazo unganishwa na simu janja, hatua inayoweza kusaidia kubaini mapema matukio yanayohitaji uangalizi. Kwa upande wa familia, kamera zinaweza kuwa nyenzo ya ziada ya kufuatilia mazingira ya watoto, hasa wanapokuwa chini ya […]

4 mins read

Sh1.27 bilioni kujenga shule, LNG kuipa Lindi sura mpya

Lindi. Wananchi wa Lindi wanatarajiwa kunufaika na mradi wa kuchakata na kusafirisha gesi asilia (LNG), ambao Serikali imesema maandalizi yake yamefikia hatua nzuri, huku ikiendelea kutekeleza miradi ya kijamii kabla ya uwekezaji huo kuanza rasmi. Hatua hiyo imekuja wakati Serikali ikizindua Shule ya Msingi Likong’o iliyojengwa kwa gharama ya Sh1.27 bilioni kupitia ushirikiano wa Shirika […]

4 mins read

DC avunja sherehe ya mahari ya mwanafunzi Bariadi

Bariadi. Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Saimon Simalenga, akiambatana na askari wa Jeshi la Polisi, amevunja sherehe ya kupokea mahari ya mwanafunzi wa kidato cha nne aliyekuwa akitarajiwa kuolewa kwa mahari ya ng’ombe 16 katika Kijiji cha Igaganulwa, Kata ya Dutwa, wilayani humo. Mwanafunzi huyo, ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sababu za kiusalama, alikuwa anasoma […]

3 mins read

Mtanzania atwaa tuzo ya vijana 100 wa Jumuiya ya Madola

Dar es Salaam. Mjasiriamali wa teknolojia kutoka Tanzania, Julius Mbungo ametambuliwa miongoni mwa vijana 100 waliochaguliwa kupokea tuzo za mwaka 2026 za Queen Elizabeth II Commonwealth Trust, kutokana na juhudi zake za kutumia teknolojia kupanua fursa kwa mafundi na wafanyakazi wenye ujuzi katika sekta isiyo rasmi. Mbungo, mwanzilishi wa majukwaa ya teknolojia ya Toolboksi na […]

2 mins read

Nkasi kuweka mfumo wa kielektroniki kudhibiti utoro wa watumishi

Rukwa. Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Mohamed Mtulyakwaku, ameagiza ofisi zote za umma wilayani humo kuweka mifumo ya kielektroniki ya kusajili mahudhurio ya watumishi wanapoingia na kutoka kazini, akionya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika kutohudhuria kazi bila sababu za msingi. Mtulyakwaku ametoa agizo hilo wakati wa kikao kazi na watumishi wa umma wilayani […]

2 mins read

Kinondoni leads serious crime statistics in Tanzania as experts call for action

Dar es Salaam. Kinondoni recorded the highest number of serious and minor criminal offences in Tanzania in 2025, prompting experts to call for more jobs, affordable financing and stronger community policing to help address crime. The Tanzania Police Force’s 2025 Crime Situation Report recorded 46,334 serious offences and 549,215 minor offences nationwide between January and […]