2 mins read

Teknolojia ya jua yaja kuokoa misitu, kuongeza ubora wa tumbaku

Arusha. Ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi zinazochangiwa na ukataji wa miti na matumizi ya kuni katika ukaushaji wa tumbaku, teknolojia ya kutumia nishati ya jua imebuniwa kama suluhisho la kukabiliana na ukataji miti na misitu. Teknolojia hiyo inalenga kupunguza utegemezi wa kuni katika ukaushaji wa tumbaku, huku ikiwezesha zao hilo kukaushwa kwa […]

2 mins read

Wakulima 400,000 Nyanda za Juu Kusini kunufaika na biashara ya hewa ukaa

Njombe. Takriban wakulima 400,000 kutoka Nyanda za Juu Kusini wanatarajia kunufaika na mradi wa biashara ya hewa ukaa, kufuatia makubaliano ya kibiashara kati ya Serikali na Kampuni ya Kaderes, inayoshirikiana na Uholanzi. Mradi huo unatarajiwa kutekelezwa katika mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Ruvuma, ukiwa na lengo la kuwawezesha wakulima kuongeza kipato kupitia shughuli zinazochangia […]

2 mins read

Wachimbaji Chunya wataja vikwazo vinavyowakabili

Chunya. Uhaba wa mikopo, changamoto ya umeme na ushindani na kampuni kubwa ni miongoni mwa vikwazo kwa wachimbaji dhahabu wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya katika kutekeleza shughuli zao. Wachimbaji hao wameomba kufanyike utafiti wa maeneo wanayochimba ili kurahisisha upatikanaji wa mikopo kutoka taasisi za fedha, kuongezwa kwa jengo la usajili katika soko la dhahabu ili […]

2 mins read

Wakulima 400,000 Nyanda za Juu Kusini kunufaika na biashara ya hewa ukaa

Njombe. Takriban wakulima 400,000 kutoka Nyanda za Juu Kusini wanatarajia kunufaika na mradi wa biashara ya hewa ukaa, kufuatia makubaliano ya kibiashara kati ya Serikali na Kampuni ya Kaderes, inayoshirikiana na Uholanzi. Mradi huo unatarajiwa kutekelezwa katika mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Ruvuma, ukiwa na lengo la kuwawezesha wakulima kuongeza kipato kupitia shughuli zinazochangia […]

2 mins read

Wakazi Mbozi waiangukia Tarura ukarabati wa barabara kukabiliana na El-Nino

Songwe. Wakazi wa Kitongoji cha Ichenjezya Mama, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wameuomba Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) kufanyia matengenezo barabara yao, wakihofia kukatika kwa mawasiliano wakati wa mvua za El-Nino zinazotarajiwa kunyesha. Wakizungumza hivi karibuni, wakazi hao wamedai kuwa, ubovu wa barabara hizo umekuwa kikwazo katika shughuli zao za kila siku, […]

4 mins read

Wakazi Mwanza walalamikia honi za bodaboda, RPC atangaza operesheni

Mwanza. Wakazi wa Kata ya Luchelele jijini Mwanza wamelalamikia baadhi ya bodaboda zinazofanyiwa marekebisho ya mifumo ya honi na kusababisha kutoa sauti kubwa zinazofanana na milipuko, wakisema hali hiyo inawashtua na kuwafanya kudhani ni mabomu yanayolipuka au eneo lao limevamiwa, hasa nyakati za usiku. Wakieleza changamoto zao za kiusalama katika mkutano wa Ongea na Kamanda […]

5 mins read

Magonjwa yasiyoambukiza yaendelea kutishia maisha, wataalamu waonya

Kibaha. Wataalamu wa afya wameonya kuhusu kuongezeka kwa hatari ya magonjwa yasiyoambukiza, yakiwamo magonjwa ya moyo, kiharusi, kisukari na kansa, wakisisitiza umuhimu wa kujikinga, kupima mapema na kupata matibabu kwa wakati. Wamesema mtindo wa maisha, ikiwamo unywaji wa pombe, ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, kuongeza chumvi kwenye chakula na kutofanya mazoezi, ni miongoni mwa […]

2 mins read

Tanzania: Dar, Nairobi Step Up Efforts to Ease Crossborder Trade

Nairobi — TANZANIA and Kenya have pledged to eliminate remaining trade barriers and strengthen transparency to boost cross-border trade and enable businesses to benefit more from the East African Community (EAC) Common Market. Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Mr James Millya, said the two countries have made progress in eliminating trade […]

8 mins read

Tanzania: Why Fuel Price Transparency Matters Amid Market Turmoil

Dodoma — With turbulence in the energy sector making fuel prices increasingly unpredictable, transparent pricing and effective regulation are essential to protecting consumers and preventing unjustified profits. Global petroleum prices fluctuate due to international conflicts, transportation costs and changes in exchange rates. In such an environment, price regulation plays a crucial role in safeguarding consumers’ […]